
DCEA yanasa bustani ya bangi ndani ya nyumba
Dar es Salaam. Licha ya udhibiti mkali wa kilimo cha bangi, wakulima wamebuni mbinu mpya za kukwepa mkono wa dola, ikiwemo kupanda miche kwenye makopo. Mkoani Arusha, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata mtu anayedaiwa kuotesha miche ya bangi ndani ya nyumba yake. Mtuhumiwa huyo, ambaye jina lake halijawekwa wazi,…