Takukuru kuikabili rushwa uchaguzi serikali za mitaa

Dar es Salaam. Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imepanga kutoa elimu kwa wananchi kuhusu athari za rushwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa kama sehemu ya mikakati yake ya kuanzia Oktoba hadi Desemba 2024. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, ambapo wananchi wameshaanza kujiandikisha, na kwa sasa hatua ya…

Read More

eGA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Uongozi ya TEHAMA INEC

Na Mwandishi wetu, DodomaTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wameendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa TEHAMA wa taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Bw. Kailima Ramadhani, amesema kuwa Mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za…

Read More

TTCL YAMWAGA VIFURISHI VYA MAWASILINO VYA BEI YA KUTUPA

*Kupiga,Kutuma SMS pamoja na Data hakuna kuweka mawazo. Na Mwandishi Wetu Shirika la mawasiliano Tanzania TTCL limeshusha neema kwa wananchi katika ununuaji wa vifurushi katika Msimu wa Sikuu za mwisho wa mwaka kupitia kampeni yake ya Waletee. Kampeni hiyo ni maboresho ya kampeni iliyopita na utofauti wake kupata virushi unavyovitaka na sio kulazimshwa. Maboresho hayo…

Read More

Wasira awapa mbinu vijana uchaguzi mkuu 2025

Ileje. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema pazia la Uchaguzi Mkuu 2025, likifunguliwa vijana wanaojiona wanasifa wajitokeze kwenye kinyang’anyiro kugombea nafasi ya udiwani na ubunge bila kuwahofia watakaokuwa wanatetea. Kimesema hakuna mwenye haki miliki ya kushikilia nafasi hizo kwa miaka mitano, isipokuwa leseni zinapatikana kupitia kinyang’anyiro cha kushawishi wananchi na mwenye nguvu ya kushawishi wanapata ridhaa….

Read More

DC MPOGOLO ATAKA VIONGOZI KUWA NA MAHUSIANO MEMA

   Mkuu wa wilaya ya ilala Edward Mpogolo amewataka viongozi wa chama na serikali kuwa na mahusiano mazuri katika kazi zao. Akiongea na viongozi wa chama na serikali katika ziara yake kwenye kata ya liwiti, tabata na kimanga Mpogolo ameeleza mahusiano ya viongozi hao yanasaidia kuelewa kazi zinazofanywa katika miradi ya maendeleo hivyo wasione ugeni…

Read More

Maandalizi ya CHAN 2024 na afcon 2027 yapambamoto

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameongoza kikao cha kujadili maandalizi ya Fainali za Mashindano ya CHAN mwaka 2024 na AFCON 2027 yatakayofanyika nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kilichofanyika Mei 6, 2024 Jijini Dodoma. Kikao hicho kimejadili ukarabati wa miundombinu ambayo itatumika katika mashindano hayo iliyopo Tanzania Bara na…

Read More

Askofu Musomba ataka Kristo akumbukwe kwa kuhubiri amani

Dar es Salaam. Wito wa kutangaza amani katika ngazi ya familia, taifa na binafsi, umetolewa ili kuienzi vema kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Kristo. Kwa mujibu wa Askofu Msaidizi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Stephano Musomba, amani ndiyo chachu ya upatanishi miongoni mwa watu. Askofu Musomba ameyasema hayo leo Jumatatu, Desemba 24, 2024 alipohubiri…

Read More