
Kampuni ya Tumbaku Alliance One yang’ara kwenye ufunguzi wa siku ya ushirika duniani Tabora
Naibu wa Waziri wa Kilimo David jana amefungua rasmi maadhimisho ya wiki ya ushirika duniani, ambayo kwa kawaida yanaambatana na maonesho ya shughuli za ushirika, ambapo wadau mbalimbali, ikiwemo kampuni ya tumbaku ya Alliance One wakionesha shughuli zao kwa muhimu. Kabla ya ufunguzi wa maonesho hayo yanayofanyika kwenye viwanja vya Nanenane Mkoani hapa, Mheshimiwa Silinde…