‎RC Mtanda: Mwenda usiondoke Yanga, hiyo ndio timu bora

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amempongeza beki wa Yanga, Israel Mwenda kwa mafanikio aliyoyapata msimu huu akiwa na kikosi hicho, huku akimuomba asiondoke klabuni hapo kwa ndio timu bora kwa sasa nchini. ‎Mwenda amejiunga na Yanga dirisha dogo Januari mwaka huu akitokea Singida Black Stars, ametwaa ubingwa wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho(FA)…

Read More

Aliyekuwa dada wa kazi apasua kidato cha sita

Dar es Salaam. “Ndoto yangu inaenda kutimia ila nimejifunza kwenye maisha heshimu kila mtu, kwa kwa kuwa inawezekana hatima yako imeshikiliwa na mtu usiyemfahamu kabisa”. Haya ni maneno ya Mariam Mchiwa mhitimu wa kidato cha sita katika sekondari ya wasichana Songea akiwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani huo yaliyotangazwa leo na…

Read More

PROF. KABUDI AHIMIZA MATUMIZI YA KAMUSI YA KISWAHILI SHULENI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi akipokea kamusi ya Lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa BAKITA, Consolata Mushi. WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amewahimiza Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha Kamusi ya Kiswahili inatumika ipasavyo shuleni ili…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Kijiwe kimembariki Yondani Pamba

IWE ni umri sahihi au sio sahihi, wote tunakubaliana kwamba Kelvin Yondani ‘Vidic’ ni mtu mzima hasa kwenye Ligi yetu ya Tanzania Bara ukilinganisha na mabeki wengi wa kati. Nyaraka zake mbalimbali zinaonyesha kuwa alizaliwa Oktoba 4, 1984 hivyo kwa sasa tayari ametimiza miaka 40 hivyo kiuhalisia wachezaji wengi wa Ligi Kuu ni wadogo zake…

Read More

Ishi hivi na mwenza wako aliyeathirika na VVU

Katika maisha ni kawaida kukutana na mtu ambaye pengine mwenza wake alifariki na VVU. Na huenda na yeye ameathirika, lakini akaanzisha mahusiano na mwenza mpya asiye na maambukizi. Ikiwa unampenda mwenza huyo ni kawaida kujiuliza maswali mengi. Je, utaishije naye. Je, nimeambukizwa au niko katika hatari ya kuambukizwa? Je, tunaweza kukaa pamoja na kujamiiana bila…

Read More

POSHO LA NAULI 50,000 KWA WAFANYAKAZI WATAKAOSAHILI

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuhakikisha changamoto zote za wafanyakazi inazitatua kwa wakati, ikiwemo kutoa posho la nauli a 50, 000 kwa wafanyakazi watakaostahili, kutoa huduma bora kwa wananchi na kuendelea kukuza uchumi wa nchi Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, (Mei mosi) Uwanja wa…

Read More

Ugonjwa wa migomba wawaliza wakulima wa ndizi Moshi

Moshi. Ugonjwa wa fungashada wa migomba umeleta kilio kipya kwa wananchi wanaolima na kutegemea kilimo cha ndizi, kwa ajili ya chakula na biashara katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Ugonjwa huo unaosababishwa na kirusi aina ya ‘Fungashada’ kwa kitaalamu unajulikana kama ‘Banana Bunchy top Disease’, huenezwa na vidukari wa migomba wanaopatikana eneo la shingo ya…

Read More

Mambo haya kukujenga kuwa mwanafunzi bora shuleni

Kuna msemo usemao: ‘’Walimu watakufungulia milango ila kuingia ndani ni hiari yako.” Walimu walikutengenezea njia ya kuendelea tangu ulipokuwa shule ya msingi.Kuendelea kuwa bora ni hiari yako siyo tena jukumu la walimu japo wana nafasi hiyo siku zote. Tutazame mwanafunzi bora ana sifa gani maana wanafunzi nao wana madaraja yao. Mosi, ni mwanafunzi mtafuta taarifa….

Read More

Maswali yalivyowavuruga wagombea Chadema | Mwananchi

Dar es Salaam. Usaili wa wagombea wa uenyekiti, umakamu na wahazini wa kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ngoma nzito ndivyo unavyoweza kusema. Hii inatokana na mchakato kuchukua muda mrefu tofauti na matarajio ya wagombea na hofu ya watia nia kupenya. Usaili huo hauna tofauti na uliofanyika jana Jumapili, Mei 12, 2024…

Read More