
Dkt. Tulia Ackson atoa salamu za mshikamano baina ya IPU na Jukwaa la Kibunge la SADC
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 2 Julai, 2024 ametoa Salamu za Mshikamano baina ya IPU na Jukwaa la Kibunge la SADC, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 55 wa Jukwaa hilo unaoanza leo Luanda nchini Angola. Dkt….