TRA yaweka rekodi makusanyo 2024, yakusanya trilioni 27.64

WAKATI wafanyabiashara nchini wakiweka mgomo wa siku tatu kupinga makadirio makubwa ya kodi na mifumo isiyo rafiki ya ukusanyaji wa kodi, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeandika historia ya ukusanyaji wa mapato kwa kipindi cha mwaka 2023/2024 ikiwemo kukusanya kiasi cha Sh 27.64 trilioni ambayo ni sawa na ufanisi wa asilimia 97.67 ya lengo la…

Read More

NSSF YAWATAKA WATUMISHI WANAOTARAJIWA KUSTAAFU KUANZA KUJIANDAA

Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka watumishi wanaotarajiwa kustaafu kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuhakiki taarifa zao za msingi sambamba na kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha hali itakayosaidia kupunguza changamoto za maisha pindi wanapostaafu Rai hiyo imetolewa na meneja wa mafao wa NSSF Ilala wakati akimuwakilisha mkurugenzi wa uendeshaji…

Read More

Sayari ya Joto ni ya Ulimwenguni, Marekebisho ni Mahususi kwa Watu wa Karibu na Ustahimilivu – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Sanjay Srivastava – TN Singh – Praveen Kumar – Naina Tanwar (bangkok, Thailand) Jumanne, Julai 02, 2024 Inter Press Service BANGKOK, Thailand, Julai 02 (IPS) – Majira ya joto ya 2024 yamevunja rekodi za joto, na kudhihirisha wazi hali mbaya ya joto ya sayari yetu. Nchini India pekee, wimbi la joto limesababisha vifo…

Read More

NIC yaja na Bima ya Maisha ya Maajaliwa

Baadhi ya matukio katika Maonesho ya Sabasaba Bima hiyo inatoa hadi mkopo wa Nisogeze kupitia simu ya kiganjani Na Chalila Kibuda,Michuzi TV NIC insurance yaja na Bima ya Maisha ya Maajaliwa ya kuingia mkataba na Mteja kwa kipindi cha miaka mitano hadi 30. Bima ya Maisha ya Maajaliwa inatoa dhamana ya kifedha kwa mteja au…

Read More

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ZIARANI UNGUJA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akitoa maagizo kwa Mshauri elekezi kutoka Wakala wa Majenzi (ZBA) juu ya Ujenzi wa Mradi wa Skuli ya Sekondari ya ghorofa iliopo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa ziara yake ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi huo. Imetolewa na Kitengo cha Habari…

Read More

DKT.MATARAGIO AKAGUA UJENZI WA KITUO MAMA CHA KUJAZIA GESI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amekagua kazi za ujenzi wa Kituo cha Kujazia Gesi kinachojengwa katika barabara ya Sam Nujoma mkoani Dar es Salaam na kumtaka Mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi kwa kuongeza rasilimali watu na vifaa. Dkt. Mataragio amesema hayo tarehe 1 Julai 2024 alipofanya ziara ya kukagua…

Read More