Mkuu wa Haki za UN – Maswala ya Ulimwenguni

Mr. Türk was responding to an announcement by Marco Rubio, the US Secretary of State, on Thursday, of measures targeting the judges, who are overseeing a 2020 case of alleged war crime committed in Afghanistan by US and Afghan military forces, and the 2024 ICC arrest warrants issued against Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and…

Read More

Wananchi wapewa mbinu kupambana na ‘makanjanja’ katika uhandisi

Dar es Salaam. Wananchi wamesisitizwa wanapokuwa na miradi ya ujenzi kuwatumia wahandisi wabobezi na waliosajiliwa ili kuepuka athari mbalimbali zinazoweza kujitokeza kutokana na ujenzi kufanyika kwa chini ya kiwango. Wito huo umetolewa leo Aprili 11, 2025 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) katika kongamano lilikowakutanisha wahandisi kutoka kada…

Read More

Mtaalamu wa kemia kiongozi mpya Hezbollah

  Hezbollah imemteua Amin Qassem, kuwa Katibu Mkuu wa kundi hilo, kurithi nafasi ya Hassan Nasrallah, aliyeuawa na majeshi ya Israel, mwezi mmoja uliopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Nasrallah aliuawa mwishoni mwa Septemba, baada ya uvamizi wa Israel ambao ulilenga makao makuu ya Hezbollah yaliyopo Kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Naim…

Read More

Aziz Ki, Yanga bado pazito, Hersi afunguka

Rais wa Yanga, Hersi Said amesema kuwa kiungo nyota wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki bado hajasaini mkataba mpya wa kuitumikia timu hiyo ingawa wapo katika nafasi nzuri ya kumbakisha. Akizungumza nchini Afrika Kusini leo Julai 8, 2024, Hersi amesema kuwa klabu inapambana kwa juhudi kubwa kumshawishi mchezaji huyo abakie na yeye mwenyewe anaonyesha dalili…

Read More

ACT Wazalendo yajipanga kulitwaa Jimbo la Moshi vijijini

Moshi. Makada wawili wa Chama cha ACT – Wazalendo, wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya chama chao kugombea ubunge jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Makada hao Livin Msele na Jackson Masawe, wamechukua fomu kwa nyakati tofauti katika ofisi za chama hicho mkoa, zilizopo mtaa wa Kiusa,…

Read More

WANANCHI NYASA WAISHUKURU TANROADS KUANZA MATENGENEZO YA BARABARA YA UNYONI-LIPARAMBA-MKENDA

 Na Mwandishi wetu,Nyasa BAADHI ya wananchi wa vijiji vinavyopitiwa na barabara ya Unyoni –Liparamba  hadi Mkenda mpakani mwa Tanzania na Msumbuji wilaya ya Nyasa ,wameishukuru Serikali kupitia wakala wa barabara Tanzania(TANROADS)kwa kuanza ujenzi  wa barabara hiyo ambayo miundombinu yake imeharibiwa vibaya na mvua za masika. Leonald Kawonga mkazi wa Liparamba amesema,wakati wa masika barabara hiyo …

Read More