Jinsi mshtakiwa anayedaiwa kumuua mkewe alivyotoa ushirikiano
Dar es Salaam. Shahidi wa 13, Ditektivu Sagenti Samweli, akiongozwa na mwendesha mashitaka, Wakili wa Serikali Mkuu, Yasinta Peter, ameieleza Mahakama kuwa, mwaka 2019 wakati wa tukio hilo, alikuwa akifanya kazi Kituo cha Polisi Kigamboni, akiwa na cheo cha Ditektivu Koplo (DCPL). Mashahidi hao waliokuwa kwenye timu ya upelelezi wa kesi hiyo wametoa simulizi hiyo…