Mwakilishi afariki dunia akipatiwa matibabu India

Unguja. Mwakilishi wa viti maalumu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Panya Ali Abdalla (60) amefariki dunia akipatiwa matibabu nchini India. Akizungumza hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Utaratibu na Baraza la Wawakilishi), Hamza Hassan Juma amesema Serikali kwa kushirikiana na familia, inaendelea kuratibu mipango ya mazishi na kurudisha mwili…

Read More

Nenda Aziz Ki hauna deni Tanzania

MAPEMA tu mwezi ujao hapa kijiweni tutakaa mbele ya runinga kumtazama Stephane Aziz Ki akikiwasha katika Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani akiitumikia Wydad ya Morocco. Jamaa wameonyesha jeuri yao ya fedha bwana kwa kumchomoa staa na kipenzi cha Yanga ambaye tayari ameshaondoka Tanzania kwenda Morocco kuungana na miamba ya huko kwa mkataba wa…

Read More

MATEMBEZI YA KUADHIMISHA KUZALIWA KWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- KIZIMKAZI – MKOA WA KUSINI UNGUJA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja na Taasisi binafsi kwa lengo la kuwaondoshea wananchi changamoto mbali mbali zinazowakabili. Ameyasema hayo katika maadhimisho ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu…

Read More