Mahakama Kisutu Yatoa Onyo Kali Baada ya Tundu Lissu Kutamka Kauli ya Kisiasa Mahakamani
Na Karama Kenyunko, Michuzi Tv MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa onyo kali kwa mtu yeyote kutamka neno lolote bila ruhusa rasmi ya Mahakama baada hakimu kuwa ameshaingia mahakamani. Hatua hiyo imekuja kufuatia tukio la mshtakiwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, kuingizwa mahakamani kisha akanyoosha mkono juu na…