TUKUTANE SABASABA!! – MICHUZI BLOG

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inashiriki Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Es Salaam ili kuonesha huduma mbalimbali zinazotolewa na Bodi hiyo pamoja na utoaji wa elimu kwa wananchi waliofika kwenye Banda la Bodi hiyo lililo ndani ya jengo la Wizara…

Read More

Mahamakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua mwanawe

Geita. Mahakama Kuu kanda ya Geita imemuachia huru Stephano Mlenda (31) Mkazi wa Chigunga Wilaya ya Geita, aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto wake wa miaka tisa kwa kutokusudia. Baba huyo anadaiwa kumchapa kwa fimbo mwanawe huyo baada ya kubaini ameiba Sh700 na kwenda kununua soda. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Julai Mosi, 2024…

Read More

UDSM YAZINDUA KAMATI KUUBORESHA MRADI WA HEET

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV CHUO Kikuu Cha Dar es Salaam, kupitia Mradi wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), kimezindua Kamati ambazo zinafanya kazi kwenye maeneo ambayo wanafanya ujenzi ili kuwafikia wadau mbalimbali ambao watatoa maoni ambayo yatasaidia uboreshaji wa mradi wa (HEET). Akizungumza na wandishi wa habari leo Julai…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Samatta kumfuata Msuva Saudia

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya PAOK ya Ugiriki, Mbwana Samatta ‘Popat’ inadaiwa anajiandaa kumfuata Saimon Msuva anayecheza soka nchini Saudia Arabia baada ya klabu ya Al Kholood iliyopanda  Ligi Daraja la Pili nchini humo kutuma maombi ya kumtaka nahodha huyo wa Taifa Stars kwa mkopo.                                          Kama dili hilo…

Read More

Waziri Chana aagiza RITA kutoa elimu ya wosia, mirathi

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk.Pindi Chana ameagiza ofisi za wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Ofisi za Makatibu Tawala wilaya zote za Tanzania bara kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuandika wosia kabla ya mauti ili kupunguza migogoro ambayo hutokeza mara baada ya wazazi kufariki. Anaripoti…

Read More

10 wasakwa na polisi tuhuma za kufanyiwa mitihani chuo kikuu

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. limesema bado halijafanikiwa kuwatia mbaroni wanafunzi 10 wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wanaokabiliwa na tuhuma za kufanyiwa mitihani. Katika sakata hilo, wanaotakiwa kukamatwa ni wanafunzi 17 na hadi juzi Jumamosi, Juni 29, 2024 ni wanafunzi saba pekee walithibitishwa kutiwa nguvuni kwa…

Read More