
Rais wa Msumbuji kuzindua maonyesho ya sabasaba
Dar es Salaam. Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 3, 2024. Nyusi atapokelewa nchini Tanzania kesho Jumanne, Julai 2 na Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, ataambatana na mwenyewe wake katika ufunguzi wa…