
SIO ZENGWE: Si sahihi timu za Ligi Kuu na Championship kucheza play-off
LEICESTER City, Ipswich Town na Leeds United zimerejea Ligi Kuu ya soka ya England baada ya kufanya vizuri katika Ligi ya Championship na mechi za mtoano (play-off). Leicester City imerejea Ligi Kuu baada ya kutwaa ubingwa wa Championship, ambayo ni ligi ya pili kwa ukubwa huko England, wakati Ipswich Town imerejea Ligi Kuu baada ya…