
Sativa afikishwa Dar, alazwa Aga Khan
Dar es Salaam. Hatimaye Edgar Mwakabela, maarufu Sativa anayedaiwa kutoweka Juni 23, 2024 na kupatikana mkoani Katavi, amewasili jijini Dar es Salaam na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan kwa matibabu zaidi. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumapili Juni 30,2024 mmoja wa watu wa karibu waliompokea mgonjwa huyo, Boniface Jacob amesema wanamshukuru Mungu Sativa amefika…