
Marioo aitikia wito na kufika katika ofisi za BASATA
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally Mwanga Maarufu kama Marioo mapema leo ameitikia wito na kufika katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa lengo ikiwa ni kufanya majadiliano na Katibu Mtendaji wa @basata.tanzania Dkt. Kedmon Mapana kuhusiana na sakata la wimbo wake wa “Iphone users” alioutoa Msanii huyo kuwa na maneno yaliyoleta utata katika…