
Itutu amdondosha Doyo uenyekiti ADC
Dar es Salaam. Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimepata viongozi wapya wa kitaifa, huku aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Shabani Itutu akiibuka na ushindi kwa nafasi ya Mwenyekiti Taifa. Itutu amemshinda Doyo Hassan aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Uchaguzi huo wa nne wa ADC umefanyika leo Jumamosi Juni 29, 2024 katika ukumbi wa Lamada…