
Hizi hapa shabaha mbili za Ramovic kwa TP Mazembe
Yanga itaingia rasmi kambini Avic Town leo Ijumaa kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuikaribisha TP Mazembe katika pambano la raundi ya nne ya Ligi ya Mabingwa kwa Kundi A, huku benchi la ufundi na vigogo wa klabu hiyo wakiweka mkakati kabambe ili kurejesha heshima anga za kimataifa. Kwa sasa Yanga ndio inayoburuza mkia katika kundi hilo,…