
UBISHI WA MZEE WA KALIUWA: Awesu ni MVP mpya Msimbazi?
PENGINE bado ni mapema sana, lakini kuna wachezaji tayari wameanza kuwasha moto mwanzoni kabisa mwa msimu. Joshua Mutale bado anajitafuta. Steven Mukwala bado anajipiga piga kifuani. Debora Fernandez taratibu aanza kuonyesha ni kwanini Simba wamemchukua, lakini Awesu Awesu tayari gari limewaka. Ukitazama mechi yake ya kwanza akiwa na jezi ya Mnyama Simba unaona umaridadi wa…