Wanafunzi wa ukaguzi kunolewa nchi nzima

Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya ukaguzi wa ndani, wameanza safari ya kuwajengea uwezo na ujuzi wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wanaosomea fani hiyo ili kuwapata wakaguzi bora, wenye weledi na maadili kwa ajili ya siku za usoni. Hayo yameelezwa Juni 28, 2024 na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakaguzi wa Ndani ya…

Read More

Kigogo Takukuru, wenzake walioachiwa huru warudishwa kortini

Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania, imeamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa ikimkabili mhasibu wa zamani wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Geofrey Gugai na wenzake watatu, walioachiwa huru Novemba 2021. Katika kesi hiyo, waliyoachiwa huru na Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Gugai pekee alikabiliwa na mashtaka ya…

Read More

Mapya yaibuka ajali ya moto Arusha

Arusha. Watumishi wawili wa afya katika kituo cha Levolosi jijini Arusha wamesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe kazini na kusababisha watoto watatu wa familia moja kufariki kwa ajali ya moto. Rungu hilo limewaangukia watumishi hao Juni 28, 2024 baada ya tuhuma zilizoelekezwa kwao moja kwa moja na baadhi ya wananchi…

Read More

Waziri mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Great Ruaha Marathon

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewakaribisha wakazi wa mkoa huo kujitokeza kushiriki Mbio za Great Ruaha Marathon ili kuendelea kuupa thamani Mkoa katika utalii. Serukamba amezungumza hayo leo akiwa ofisini kwake ambapo huku akitaja kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ndiye anayetarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika msimu huu…

Read More

Rais wa Zanzibar aipongeza kampuni ya Oryx Gas kwa kujenga bohari ya kwanza ya kuhifadhi nishati za gesi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas kwa kujenga bohari ya kwanza ya kuhifadhi nishati za gesi huku akizitaka kampuni za gesi kuhakikisha wanaweka mikakati itakayowezesha kupungua kwa bei ya gesi ili waipate kwa gharama nafuu.   Akizungumza mbele ya wananchi wa Zanzibar baada ya…

Read More

Kuchota maji bure kunadhoofisha miradi ya maji

Licha ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa asilimia mia na kupitia Mpango wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani wa kumtua ndo kichwani mama Changamoto ya uulinzi wa miundombinu ya maji pamoja watu kugoma kuchangia huduma hiyo kumetajwa kuwa ni chanzo ambacho kunadhoofisha ubora wa miundombinu hiyo…

Read More