
Wanawake wa Jamii ya kimasai waomba kampeni ya Samia legal Aid, iwafikie vijijini
Na Pamela Mollel, Arusha. Wanawake wa Jamii ya Kimasai wameiomba serikali kufikisha huduma za msaada wa kisheria katika jamii za pembezoni ili kusaidia kukabiliana na vikwazo vya kimila vinavyowanyima haki zao. Wamesema kuwa kwenye jamii yao bado kuna baadhi ya mila potofu ambazo zimekuwa vikwazo vya kuleta usawa wa kijinsia katika jamii zao ikiwemo haki…