
Serikali yakiri upungufu wa maprofesa, yaanika mikakati kuukabili
Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amekiri kwamba kuna uhaba wa wahadhiri nchini, hata hivyo amesema Serikali imechukua jitihada za kuhakikisha wataalamu kutoka nje wanakuja nchini kutoa mafunzo. Japo hakutoa takwimu ya upungufu uliopo wa wahadhiri nchini, Profesa Nombo amesema hatua nyingine ambayo Serikali imechukua ili uhaba…