
SERIKALI HAIWEZI KURUHUSU WANANCHI WAPATE MADHARA
Naibu waziri wa madini Dkt Steven Kiruswa ametembelea katika ujenzi wa mradi wa kiwanda kidogo cha majaribio ya uchimbaji madini ya Uranium unaozalishwa na kampuni ya uchimbaji madini MANTRA uliopo kijiji cha Likuyu wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Likuyu wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma amesema wananchi waachane na…