
Viongozi wakuu wa Ulaya wateua timu ya kuiongoza EU – DW – 28.06.2024
Uteuzi wa von der Leyen ulikubaliwa siku ya Jumanne, lakini uamuzi rasmi ulichukuliwa kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels siku ya Alhamisi. Kwenye mkutano wao wa kilele mjini Brussels, viongozi wakuu wa mataifa 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya pia waliwachagua waziri mkuu wa zamani wa Ureno Antonio Costa kuwa mwenyekiti…