
Serikali kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamisi amesema Serikali itaendeleza kampeni za hamasa kwa jamii ili kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2030. Khamis ametoa rai hiyo Agosti 11, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati wa bonanza la…