Mkongomani kuamua Simba vs Stellenbosch CAFCC

Refa mzoefu Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Aprili 20 mwaka huu. Ngambo mwenye umri wa miaka 37, amewahi kuichezesha Simba katika mechi nne tofauti za kimataifa ambapo…

Read More

Aliyeua mke, mtoto ahukumiwa kunyongwa

Arusha. Ni mauaji ya kutisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Hamis Shija, kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua mkewe, Diana John na mtoto wao, Yakobo Hamis. Ilidaiwa mahakamani kuwa Hamis alimuua mkewe aliyekuwa mjamzito kwa kumchinja kwa kutumia panga, baadaye kutumia wembe kukata tumbo lake na kutoa watoto…

Read More

Kasoro kibali cha DPP zairudisha kesi ya ugaidi kortini

Songea. Mahakama ya Rufani imeamuru kusikilizwa upya kesi ya ugaidi inayowakabili washitakiwa sita baada ya kubainika kibali cha Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) hakikuwa kimeidhinishwa awali na mahakama. Desemba 16, 2022 Jaji Yose Mlyambina wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea, aliwahukumu kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kwanza na miaka 30 kwa kosa la…

Read More

Wanasayansi wataja mbinu kutokomeza malaria Tanzania

Wakati leo dunia ikiadhimisha Siku ya Malaria, imeelezwa kuwa takribani asilimia 86.2 ya watu nchini (sawa na watu milioni 58) wako kwenye hatari ya kupata malaria, huku watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wakiwa kwenye hatari kubwa zaidi. Kwa wastani, kiwango cha maambukizi ya malaria nchini Tanzania ni asilimia 8.1,…

Read More

Tume Huru ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025

Unguja. Wakati uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura ukitarajiwa kufanyika Julai Mosi, 2024, Sh418 bilioni zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya kazi hiyo. Uzinduzi huo utafanyika mkoani Kigoma ambapo mgeni rasmi atakuwa  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Mei 15, 2024, mjini Unguja,  Mwenyekiti wa Tume Huru ya…

Read More