
Serikali ya Taliban kushiriki mkutano wa UN nchini Qatar – DW – 28.06.2024
Huu utakuwa mkutano wa tatu, ambao unaongozwa na Umoja wa Mataifa huko Doha, lakini ni mara ya kwanza kuhudhuriwa na Taliban, ambayo haitambuliwi kimataifa tangu kunyakua mamlaka Agosti 2021, ikiwa ni baada ya vikosi vinavyoongozwa na Marekani kuondoka katika ardhi ya Afghanistan baada ya miaka 20 ya vita. Umoja wa Mataifa umekuwa ukijaribu kutafuta mbinu…