
KAWAAMBIENI WALIOWATUMA KAZI YA KUZUIA UCHAGUZI MKUU NI NGUMU KAMA ILIVYOKUWA VIGUMU KUMFUFUA ALIYEKUFA-WASIRA
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Stephen Wasira amesisitiza kuwa hakuna mtu yoyote ambaye anaweza kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu usifanyike na hao wanaotaka kuuzuia kama wametumwa wawaambia hao waliowatuma kwamba kazi hiyo ni ngumu na haitawezekana. Akizungumza na wananchi wa Mbeya Mjini leo Machi 17,2025 katika mkutano wa hadhara, Wasira ametumia nafasi…