
Wabunge wahoji ugawaji wa maeneo ya utawala
Dodoma. Wakati baadhi ya wabunge wakihoji kuhusiana na ugawaji wa maeneo ya utawala, Serikali imesema kwa sasa kipaumbele kimewekwa katika uboreshaji wa miundombinu kwenye maeneo hayo. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (Tamisemi), Dk Festo Dugange ameyasema hayo leo Ijumaa Juni 28, 2024 wakati akijibu swali la…