
Profesa Kabudi ataja matokeo tarajiwa Daraja la JP Magufuli
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema daraja la JP Magufuli linakwenda kuimarisha diplomasia ya kiuchumi na kindugu pamoja na kuendeleza sifa ya Tanzania kuwa lango la nchi nyingine za Afrika Mashariki na kati. Amesema katika diplomasia, daraja hilo linaloongoza kwa urefu Afrika Mashariki ni kiungo katika kukuza…