
Biashara zarejea Kariakoo, Wafanyabiashara wataja mwarobaini
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Kariakoo, jijini hapa wameendelea na shughuli zao baada ya kugoma kwa siku nne kuanzia Jumatatu Juni 24, 2024 huku wakidai mapendekezo ya kupunguzwa kwa faini ya Sh15 milioni hadi Sh4 milioni imebaki kwenye makaratasi. Mgomo huo ulioanzia Dar es Salaam, ulisambaa mikoa mingine ikiwamo Kigoma, Arusha, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Mtwara,…