Jinsi mikoko huokoa maisha, maisha ya jamii za pwani za Bangladesh – maswala ya ulimwengu

Mikoko mpya imeundwa katika maeneo mbali mbali ili kupunguza hatari za mabadiliko ya hali ya hewa katika kijiji cha Badamtoli cha Dakop Upazila (wilaya ndogo) ya wilaya ya Khulna. Mikopo: Rafiqul Islam Montu/IPS na Rafiqul Islam Montu (Shyamnagar, Bangladesh) Ijumaa, Mei 16, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Shyamnagar, Bangladesh, Mei 16 (IPS) – Golenur…

Read More

MBOWE AFUNGUA MKUTANO MKUU CHADEMA, AKEMEA MATUSI

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) FREEMAN Mbowe amewasihi viongozi watakaoshika nyazifa mbalimbali katika Chama hicho ni lazima wakijenge chama katika misingi ya maadili na Nidhamu. Ameyasema hayo leo Januari 21, 2025 wakati anafungua Mkutano Mkuu wa chama hicho unapendelea Mlimani City jijini Dar es Salaam. “Mtakaopewa mikoba ya chama hiki ni lazima…

Read More

Eagles yatinga fainali MRBA | Mwanaspoti

EAGLES imetinga fainali baada ya kuifunga Young Profile kwa pointi 73-51, katika nusu fainali ya pili ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), katika uwanja wa Mirongo. Katika mchezo huo, Eagles ilishinda pointi 73-51 baada ya awali kushinda 73-72 kwenye mchezo wa pili kati ya mitatu ya ‘best of three play off, hivyo kuwa…

Read More

NGO’s zatakiwa kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi

Geita. Wakati Watanzania wakitarajia kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024 kwa kupiga kura na Uchaguzi Mkuu 2025, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) mkoani Geita yametakiwa kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa wananchi kupiga kura. Pia, mashirika hayo yametakiwa kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kumchagua kiongozi mwenye…

Read More

Mabadiliko ya kijamii yanavyochochea mijadala ya malezi

Tunaishi katika nyakati ambazo maarifa kuhusu malezi ya watoto yamepata kipaumbele kikubwa, tofauti na miaka ya nyuma. Pamoja na kuongezeka kwa mijadala kuhusu malezi kwenye majukwaa mbalimbali, suala hili limelenga zaidi hisia za watafiti kuliko ilivyokuwa zamani. Kila siku, tafiti mpya zinaendelea kuchapishwa zikichunguza changamoto zinazoyakumba malezi ya watoto. Hali hii inaweza kuleta wasiwasi kwa…

Read More

HISIA ZANGU: Akaunti zetu hazitoshi kwa Mayele tena

MAFARAO wa Misri walikamilisha Ligi Kuu yao wikiendi hii iliyoisha. Watu wa ajabu kidogo. Wakati duniani katika maeneo mbalimbali ligi zinaanza wao ndio wametamatisha ligi yao. Sijui wanatumia mfumo upi ambao unawasiganisha na dunia. Na katika msimu huu ulioisha walikuwa na ugeni wa mchezaji anayeitwa Fiston Mayele. Aliondoka katika ardhi ya Tanzania akiwa shujaa anayetetema….

Read More

Ufunguzi wa kongamano la siku(2) la kitaifa la mtandao wa wanawake katiba uongozi na uchaguzi

Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP katika mchakato kuhimiza  usawa wa kijinsia Tanzania imekutana na wanawake pamoja na wanamtandao katika kongamano la kitaifa la mtandao wa wanawake katiba uongozi na uchaguzi Kujadili masuala mbalimbali wakati ambapo hivi sasa nchi yetu inaelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo hali ya ushiriki wa wanawake katika nafasi za…

Read More