
RASMI SKUDU MAKUDUBELA AIAGA YANGA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Winga Skudu Makudubela raia wa Afrika Kusini ameiaga rasmi Klabu ya Yanga hali inayoashiria kuwa hatokuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu huu wa 2024/25. Kupitia waraka wake kwa klabu hiyo, Skudu ametoa shukrani zake kwa Familia nzima ya klabu ya Yanga kwa upendo na usaidizi ulioonyeshwa kwake wakati wote alipokuwa…