
RAIS SAMIA KUFUNGA TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI KITAIFA MKOANI RUVUMA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeandaa tamasha la tatu la utamaduni ambalo litafanyika Mkoani Ruvuma Manispaa ya Songea kuanzia Tarehe 20 hadi 23 septemba 2024. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amezungumza na wanahabari jijini Dodoma leo ambapo amesema tamasha hilo litafunguliwa na Waziri mwenye…