
Polisi watumia risasi za mpira, Ruto ataka mazungumzo
Nairobi. Licha ya Rais William Ruto kufutilia mbali muswada wa Sheria ya Fedha uliopendekeza Ongezeko la Kodi, vijana nchini Kenya leo Alhamisi Juni 27, 2024 wameendelea kuandamana huku polisi wakiwafyatulia risasi za mpira na mabomu ya machozi. Maandamano hayo yakiongozwa na vijana maarufu Gen Z, yamezipuuza mamlaka na Serikali ya Ruto ikabaki njiapanda, kati ya…