
Wananchi wa Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne
Manyara. Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro), Kata ya Majengo (wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha), na Kata ya Naisinyai (wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara) wameandamana kushinikiza Serikali kutatua changamoto zinazowakabili, ikiwemo eneo korofi linalosababisha mafuriko mara kwa mara. Kwa mujibu wa wananchi hao, mafuriko hayo yamesababisha vifo, majeruhi, na uharibifu…