
AKILI ZA KIJIWENI: Kwa Mzamiru, Mwenda Simba imefanya la maana
WIKI hii Simba ilitangaza kuongeza mikataba ya nyota watatu wazawa wanaokichezea kikosi hicho ambao mikataba yao ya awali ilikuwa imefikia tamati mwishoni mwa msimu wa 2023/2024. Watatu hao ni mshambuliaji Kibu Denis, kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin na beki kiraka, Israel Mwenda ambao kila mmoja amesaini mkataba mpya wa kuitumikia Simba kwa miaka miwili zaidi. Suala…