
AG ashtuka wananchi lukuki kuishtaki Serikali, atangaza mkakati mpya
Mwanza. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imesema kila mwaka inapokea zaidi ya notisi 500 za wananchi kuishtaki Serikali kutokana na kukerwa au kutoridhishwa na huduma wanazopata kutoka kwa watendaji na viongozi wake. Hayo yamesemwa leo, Jumatatu, Februari 17, 2025, na Kaimu Mkurugenzi wa Uratibu na Ushauri wa ofisi hiyo, Neema Ringo, wakati wa uzinduzi…