
RAIS DKT. MWINYI AZINDUA BOHARI YA KUHIFADHI NISHATI YA GESI YA ORYX ZANZIBAR
NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Oryx Gas imeungana na kampuni ya TP Limited yenye makao yake Zanzibar ambayo ni kampuni tanzu ya Vigor Turky’s Group of Companies (Vigor Group), kujenga bohari ya kwanza ya kuhifadhi nishati za gesi ili kuongeza usambazaji wa gesi ya LPG kisiwani humo. Akizungumza mbele ya wananchi wa Zanzibar baada ya…