
RC MTWARA AIPONGEZA WIZARA YA FEDHA KWA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA WANANCHI.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenan Sawala, akizungumza na Timu ya wataalamu ya Wizara ya Fedha na wataalamu kutoka Taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI walipofika Ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha ikiwa ni…