
JIWE LA SIKU: Kibu na mkataba wa mtego Simba
ZAMANI ilikuwa ngumu kumuona mchezaji kutoka Bongo anakwenda mapumziko nchi kama Marekani, Ufaransa, Dubai na nyingine ila kwa sasa linawezekana kwani Ligi ya Tanzania imeanza kulipa vizuri na wachezaji wanapata mikwanja ya kwenda huko kula bata katika kipindi cha mapumziko kama ilivyo kwa mastaa tofauti ulimwenguni. Unavyosoma hapa, staa wa Simba, Kibu Denis yupo zake…