
Yanga yaipiga bao Simba | Mwanaspoti
WAKATI ikibaki siku mbili kabla ya Yanga na Simba kukutana katika pambano ya Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, rekodi zinawabeba zaidi watetezi hao tofauti na Wekundu wa Msimbazi. Mchezo huu utakaokuwa wa 114, kwa timu hizi kukutana katika Ligi Bara tangu 1965, rekodi zinaonyesha Yanga imekuwa timu tishio kwa…