
Malejendi watangaza kurudi mbio za magari
MADEREVA na waongozaji (navigators) wa timu Stado wametangaza kurudi mchezoni baada ya miaka saba ya ukimya na kutojihusha na mchezo huu pendwa. Samir Nahdi Shanto, mmoja wa madereva wa timu hiyo, akiongea na Mwanaspoti kutoka mjini Morogoro, alisema wanarudi tena mchezoni na safari hii wanakuja na mashine ya kisasa iitwao Ford Proto. “Stado Team wote…