
Rais Biden akutwa na Uviko-19, ashinikizwa kutogombea
Rais wa Marekani, Joe Biden jana Jumatano Julai 17, 2024 alipimwa na kugundulika na Uviko-19 hivyo kulazimika kukatiza mkutano wa kampeni uliokuwa na lengo la kutafutwa uungwaji mkono kwa wapiga kura wa Latino. Kwa mujibu wa tovuti ya BBC, Biden mwenye umri wa miaka 81 alibainika kuwa na dalili za ugonjwa huo na tayari ameanza matibabu…