Shilingi yaendelea kuimarika licha ya kuwa katika kipindi cha uchaguzi
Dar es Salaam. Kwa kawaida, shilingi ya Tanzania huwa inapoteza thamani inapokaribia kipindi cha uchaguzi mkuu, ikiporomoka kwa kasi dhidi ya sarafu kuu za kigeni. Mwelekeo huo ulidhihirika wazi katika chaguzi za mwaka 2015 na 2020. Mwaka 2015, thamani ya shilingi ilishuka kutoka Sh1,754.7 kwa Dola moja ya Marekani mwezi Januari hadi Sh2,180.1 kufikia Oktoba…