Pointi 27 kufunga hesabu za Uhamiaji

KOCHA Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh, amesema licha ya kuwepo ugumu wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026, lakini sio sababu ya kuacha kupigania malengo yao. Alisema kwa hatua ambayo imeshafikia Uhamiaji ya kuwa nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hiyo kilichobaki ni kuongeza bidii na kuvuna pointi kati ya 25 hadi 27. Alisema…

Read More

Usafiri mwendokasi mguu sawa Gongo la Mboto

Dar es Salaam. Awamu ya tatu ya usafiri usafiri wa mabasi yaendayo haraka iko mbioni kuanza kati ya Gongo la Mboto na katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imefahamika. Hatua hiyo ni baada ya Serikali kutangaza kuwa mabasi 49 yapo tayari na wakati wowote yataingia barabarani kutoa huduma huku mengine takribani 99 yakiwa bandarini…

Read More

Watu Wenye Ulemavu wa Macho Wafikiwa na Meridianbet

LEO hii tarehe 29 ya mwezi wa 8 Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet, katika mwendelezo wake wa kurejesha kwenye jamii iliamua kuwatembelea watu wenye ulemavu wa macho na kuwapatia msaada wa White Cane ( Fimbo za kutembelea) ambazo hizi zitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku. Ikiwa ni jitihada za Kampuni hii kuijali jamii yake…

Read More

Bado Watatu – 1 | Mwanaspoti

UTANGULIZIHebu fikiria kuwa wewe ni mpelelezi, unafika katika tukio la mauaji. Kuna mtu amenyongwa na mtu asiyefahamika. Unamkuta mtu ananing’inia kwenye kitanzi akiwa tayari ameshakufa lakini unakuta mtu mwenyewe aliyenyongwa siku hiyo, ndiye yule ambaye alishanyongwa hadi akafa miaka miwili iliyopita kwa hukumu ya mahakama kutokana na kosa la kuua!Uchunguzi wa polisi unaonyesha kuwa mtu…

Read More

Serikali ionyeshe njia ya kusaidia wanyonge

Kwa mara nyingine, Tume ya Ushindani wa Haki wa Kibiashara Zanzibar (ZFCC) imewaonya wafanyabiashara wanaokiuka bei elekezi za vyakula zilizopangwa na Serikali. Tume hiyo imewataka wabandike bei za bidhaa zao mahali panapoonekana wazi, na kuonya kuwa watakaokiuka maelekezo hayo watachukuliwa hatua za kisheria. Kwa mtazamo wa kawaida, hatua hiyo inaweza kuonekana kuwa ni jitihada za…

Read More