Chadema yakomalia hali ngumu ya uchumi, Mbowe agusia mgomo

Arusha. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hali ya uchumi nchini inazidi kuwa mbaya na watu wengi wakipitia ugumu wa maisha. Kimesema wakulima wanakabiliwa na changamoto za kupanda kwa gharama za pembejeo na soko la mazao yao kutokuwa na bei nzuri, huku wanakutana wakikabiliwa na ukosefu wa malisho na huduma za mifugo kuwa ghali….

Read More

Mgomo wa wafanyabiashara waacha kilio kila kona

Dar/Mikoani. Saa 53 za mgomo wa wafanyabiashara ulioanza eneo la Kariakoo Dar es Salaam kabla ya kusambaa maeneo kadhaa nchini umeathiri mapato ya kada tofauti katika mnyororo wa biashara. Mgomo huo ulioanza alfajiri ya Jumatatu Juni 24, eneo la Kariakoo, hadi jana ulisambaa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya, Mwanza, Iringa, Dodoma, Arusha,…

Read More

DAWASA yapeleka matumaini mapya Msumi

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza  kutekeleza kazi ya uchimbaji visima katika eneo la Mbezi- Msumi Kata ya Mbezi ikiwa ni maagizo ya Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew katika ziara yake aliyoifanya mkoan Dar es salaam katika Wilaya ya Ubungo hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Katika…

Read More

Wachuuzi wapandisha bei mgomo ukiendelea, wananchi walalama

Mbeya. Athari ya mgomo wa wafanyabiashara wa maduka jijini Mbeya imeanza kuonekana kwa wananchi kuabza kulalamikia bei ya bidhaa kupanda. Inaelezwa vifaa na bidhaa zilizopanda bei ghafla ni vifaa vya shule ambavyo sasa wazazi wananunulia watoto wao kutokana na msimu za likizo kueleka kumalizika. Shule mbalimbali na msingi na sekondaro zinatarajiwa kufunguliwa kuanzia Julai mosi,…

Read More

Sengerema yapoteza Sh61 milioni kusuasua ujenzi wa vibanda

Sengerema. Halmashuri ya Sengerema inapoteza zaidi ya Sh61milioini kila mwaka kutokana na kutokukamilika kwa ujenzi wa vibanda ya stendi kuu ya mabasi iliyoko Bukala mjini Sengerema kutokukamilika. Hiyo ni moja ya hoja tano zinazowasilishwa  na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenye kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya Sengerema. Diwani wa Tabaruka,…

Read More

Serukamba akomalia miradi ya Maendeleo, atoa agizo Mufindi

Mufindi. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya Mufindi kuongeza nguvu katika usimamizi wa miradi ya maendeleo, ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Serukamba ametoa maagizo hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani lililojadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka…

Read More