
Championship ngoma inogile | Mwanaspoti
WAKATI ukibaki mchezo mmoja kuhitimisha mzunguko wa kwanza wa Ligi ya Championship kwa msimu huu wa 2024-25, tayari yapo matukio mengi yaliyojitokeza, kuanzia ushindani kwa timu zenyewe, wachezaji na vioja mbalimbali vilivyojitokeza. Ligi hii ambayo kwa sasa imeendelea kuonyesha ushindani na kuvutia wachezaji wakubwa kuicheza tofauti na ilivyokuwa hapo mwanzoni, Mwanaspoti imefanya tathimini kutokana na…