
Gachagua amtaka bosi wa Usalama ajiuzulu
Nairobi. Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amemtaka Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa hilo, Noordin Haji ajiuzulu kutokana na kushindwa kumshauri Rais William Ruto vizuri kuhusu sakata la maandamano ya Gen Z. Gachagua amesema kama bosi huyo wa Usalama angemfahamisha vyema Rais Ruto kuhusu ukubwa wa maandamano hayo, maandamano yasingetokea na wala yasingefika huko. “Habari…