Baadhi ya wanachama Dodoma watangaza kumuunga mkono Lissu

Dodoma. Ikiwa imebaki siku moja kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambapo pia kutakuwa na uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho, baadhi ya wanachama mkoani Dodoma wametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu. Wakizungumza na waandishi wa habari leo jumapili Januari 19, 2025 jijini Dodoma wanachama…

Read More

PUMZI YA MOTO: Azam Complex imeanzia ilipoishia

 MSIMU wa mashindano wa 2024/25 umeanza nchini Tanzania, kwa mashindano ya ndani na ya nje. Kuanza kwa msimu ni kuanza kwa biashara zote zinazoambatana na mpira, ikiwemo ya viwanja vya kuchezea. Na kama kuna uwanja umeanza kwa kishindo basi ni Azam Complex, uwanja wa nyumbani wa Azam FC, uliopo pale Chamazi. Kwa siku tatu tu,…

Read More

PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA AWAMU YA PILI KAMPENI YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI

***** Puma Energy Tanzania kwa Kushirikiana na shirika la Amend Tanzania imezindua awamu ya pili ya kampeni yake ya Usalama Barabarani inayojulikana kama ‘Be Road Safe Africa’.  Mpango huo wenye kuleta mageuzi kwa usalama barabarani unalenga kuwawezesha watoto na kuboresha uelewa wa usalama barabarani katika jamii zao. Awamu ya pili itaendeleza jitihada zake katika shule za…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA UKIMWI NJOMBE

NA.MWANDISHI WETU Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, imetembelea miradi mbalimbali  mkoani Njombe leo tarehe  09 Januari, 2025. Kamati hiyo imetembelea kituo cha Afya cha Njombe Mjini kilichopo katika Halmashauri ya mji wa Njombe kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa katika kituo hicho ikiwemo huduma za upimaji UKIMWI, pamoja na…

Read More