
Trump aahidi tena kumaliza “mauaji” ya vita vya Ukraine – DW – 17.12.2024
Akizungumza kwa mara ya kwanza na waandishi habari tangu alipochaguliwa kwa mara nyingine kuwa rais wa Marekani, Trump amesema ni lazima mauaji yanayotakana na vita hivyo yakomeshwe, akiahidi kwa mara nyingine kuumaliza mzozo huo atakapoingia madarakani. “Tutazungumza na Rais Putin, na tutazungumza na wawakilishi, Zelensky na wawakilihsi wa Ukraine,” amesema Trump kwenye mkutano huo ba…